MBWA WATUMIKA KUKAGUA UKUMBI WA KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR

Ulinzi umeimarishwa katika ukumbi ambao matokeo ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar yatatangazwa.
Mbwa wa ulinzi pia wametumika kukagua eneo hilo, ambalo mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Selim Jecha Selim anatarajiwa kutumia kutangaza matokeo baadaye leo.
Tume hiyo bado haijasema ni saa ngapi matokeo ya kwanza yataanza kutangazwa.
CHANZO NA BBC
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment