Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar Es Salaam ikitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Stars imewasili na kupata mapokezi mazuri. Ayo Tv ilikuwepo na imefanikiwa kufanya interview na Mbwana Samatta na kocha Boniface Mkwasa.
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment