UEFA Kuanza Kutimua Vumbi Leo! Arsenal Mikononi Mwa PSG

Leo September 13 ndio tarehe rasmi ya ile ligi kubwa ya mabingwa barani Ulaya kuanza kukitifua rasmi katika nchi tofauti tofauti barani humo. 
Na leo katika ligi hiyo kuna michezo 8 ambayo itatimua vumbi katika viwanja tofauti tofauti barani humo ikiwa ni timu za magroup A-D ndizo zitakazo husika kwa leo.
Katika Group A
  1. Basel vs Ludogorets Lazgrad
  2. Paris Saint German (PSG) vs Arsenal
Group B
  1. Benfica vs Besiktas
  2. Dynamo Kyiv vs SSC Napoli
Group C
  1. Barcelona vs Celtic
  2. Manchester City vs Borussia Monchengladbach
Group D
  1. Bayern Munich vs FC Rostov
  2. PSV Eindhoven vs Atletico Madrid
Ikiwa michezo yote hiyo itachezwa mida ya saa 3:45 ya usiku kwa saa za Afrika ya mashriki, mchezo ambao unatarajiwa kuteka akili za wapenda soka wengi ni ule unaozikutanisha PSG vs Arsenal. Unaweza kutuachia utabiri wako hapa nani atakufa leo?
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment