Hili Ndio Swali Ambalo Kocha wa YANGA, Hans van der Pluijm Hataki Kuulizwa Kuhusu NIYONZIMA (+Audio)


Klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo inayofundishwa na kocha muholanzi Hans van der Pluijm, ilitangaza kumsamehe kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima, baada ya awali kutangaza kumuondoa kikosini kwa kile kinachodawa kuwa ni utovu wa nidhamu.
Baada ya kurejeshwa katika timu Niyonzima ambaye ni nahodha msaidizi wa Yanga alikuwa havai tena kitambaa cha unahodha msaidizi, wakati ambao nahodha mkuu Nadir Haroub Canavaro alikuwa majeruhi, Amplifaya ya Clouds FM ilipata nafasi ya kufanya mahojiano kwa nyakati mbili tofauti na Niyonzima na kocha Hans van der Pluijm na majibu yake yalikuwa haya.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment