Mabosi wa Man United wanatajwa kuongeza nguvu za kuwania saini ya staa huyo, ili kuvizidi vilabu vya Arsenal na Chelsea ambavyo vinamuwania pia, Mabosi wa Man United wanataka kumpa mshahara wa pound 250,000 kwa wiki na kumfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa zaidi Uingereza.
Stori ni kuwa inaripotiwa kuwa Zlatan Ibrahimovic ana mpango wa kutua Man United ila kama Louis van Gaal ataondoka Man United, Zlatan anatajwa kutamani kufanya kazi na Jose Mourinho ambaye aliwahi kufundishwa nae akiwa Inter Milan.
Zlatan na Jose Mourinho wakati wakiwa katika klabu ya Inter Milan
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment