VIDEO: Ronaldo Kaenda Hotelini Kunywa Chai… Atamaliza Kikombe? Kuna Dakika 4 za Watu Baada ya Kumshtukia!

Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chini jinsi alivyokwenda kunywa chai kwenye Mgahawa wa kibiashara, mashabiki wakashtukia kwamba tuko kwenye breakfast na Ronaldo… itakuaje? tazama hii video hapa chini…
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment