VIDEO: TB Joshua Alivyozitembelea Nyumba za Dr. MAGUFULI, Edward LOWASSA na Ikulu Tanzania

Timu ya Muhubiri TB Joshua kutoka Nigeria imeionyesha video kwa ufupi ya jinsi Muhubiri huyu alivyokuja Tanzania na kuwatembelea Rais Kikwete aliyekua akimaliza muda wake madarakani, Dr. John Pombe Magufuli na Edward Lowassa, ni ziara ambayo aliifanya November 2015 lakini video yake ya tukio hili imewekwa kwenye ukurasa wa kanisa la TB Joshua March 2016
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment