Kiongozi wa vijana wa chama cha ODM, Stephene Mukabana akiwa amebebwa na vijana.
Kiongozi wa vijana wa chama cha ODM, Stephene Mukabana ameuawa kwa
risasi jana wakati akienda kumsaidia mtu aliyekuwa akiporwa na kundi la
watu 6 kwa mujibu wa gazeti la Standard nchini humo.
Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi Evans Kidero
akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa umri
wa miaka 42.
CHANZO: BBC SWAHILI
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment