PICHAZ 15: Mbunge Profesa JAY Alivyorudi Tena Jimboni Kwake, Safari Hii Sio Mikono Mitupu

April 24 2016 mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Profesa Jay amerudi tena jimboni kwake na kuendelea kuhakikisha ahadi zake za kuleta maji safi na salama katika jimbo lake zinatekelezeka kwa vitendo na sio maneno matupu.

Profesa Jay April 24 2016 alirudi katika jimbo la Mikumi kijiji cha Ruembe kutoa msaada wa mabomba ya maji yenye na kuwashukuru wananchi wa kijiji hicho, msaada wa mabomba unakuja ikiwa ni siku nane zimepita toka atembelee jimbo lake April 16 eneo la Ruaha.












-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment