UNAWAJUA MAKOCHA 10 BORA LIGI KUU UINGEREZA?

Ligi mbali mbali duniani huwa kila mwezi wanatangazwa makocha bora wa mwezi na wachezaji bora wa mwezi kutokana na timu kucheza vizuri na kikubwa ushindi pia ni kigezo cha kuchaguliwa kuwa kocha bora. Claudio Ranieri amechaguliwa katika tuzo hiyo miezi miwili mfululizo.

IDADI HII HAPA
1. Sir Alex Fergason yeye anabakia kuwa baba wa soka la England kwa heshima aliojiwekea mara yake ya mwisho ilikuwa mwaka 2012 na ndipo alipo achana na kufundisha mpira amechukua mara 27 kwa miaka 27 aliyo kaa England kama kocha
2. Arsene Wenger Huyu ni Bingwa wa kufeli kwa mujibu wa mashabiki na kauli ya Jose Mourinho, mzee wa uchumi kocha alieko madarakani kwa muda mrefu kwa walimu wote walio sasa ligi hiyo bila shaka nae aba mchango wake amechukua mara 15
3.David Moyes alipata sifa kubwa wakati anaifundisha Everton kwa hakika ni kocha bora alikuwa na bajeti ndogo sana everton ilifanya vizuri sana sifa ikapungua pale alipo pokea kijiti kutoka kwa Furgason amechukua mara 10
4.Mart O’neill balaa la kusua sua kwa Aston Villa limetokana na O’neill alipo acha timu hiyo ama kwa hakika alikuwa nguzo imara sana na aliendesha timu katika misingi imara ilikuwa tishio na usiichukulie poa Aston Villa hivi unajua ilishachukua Uefa 1981-1982 wakati inaitwa European Cup,yeye kachukua mara 8
5.Sam Allardice huyu bingwa wa kuvinusuru vilabu vinavyo kuwa katika mstari mwekundu wa kushuka daraja kwa msimu huu sijui kama ataweza kuinusuru Sunderland amechukua mara 6
6.Kevin Keagan huyu nae kachukua mara 5
7.Carlo Anceloty miongoni mwa makocha bora katika wale tano bora huyu nae yupo humo amechukua mara 4
8.Roberto Mancin Kocha ambae aliyo ipa heshima Manchester City maana city imekaa miaka 54 bila taji hatimae 2011 aliweza kuchukua ubingwa kwa uwekezaji mzuri wa Sheikh Mansur Tajiri wa kiarabu.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment