VIDEO: Wabunge Saba Watolewa Nje ya Bunge Baada ya Kupiga Filimbi Wakati Rais Akihutubia Nchini Kenya

March 31 2016 miongono mwa habari kubwa za siku nchini Kenya ni Wabunge wa Upinzani kupiga filimbi sekunde chache tu baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge la nchi hiyo ambapo KTN wamesema hizo filimbi zilisababisha hotuba ya rais ichelewe kusomwa kwa zaidi ya dakika 30.

Unaambiwa kitendo cha Wabunge wa upinzani kukosa nidhamu hii kulimfanya spika wa bunge la Kenya Justin Muturi kuamuru kutolewa nje ya bunge kwa Wabunge saba ambao walitolewa na askari wa bunge kwa mabavu , tazama hizi video za KTN na CITIZEN TV hapa chini kujionea.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment