Mei 2 2016 Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amewaapisha wakuu wa idara na maofisa utumishi wote wa manispaa hiyo ili kusaidia kubaini watumishi hewa.
Makonda kafikia hatua hiyo baada ya watumishi hao kuwa wanampa idadi tofauti kila anapohitaji kupata taarifa, akizungumza na Waandishi wa habari Dar es salaam Makonda anasema..
>>> ‘Mara ya kwanza mliniambia tuna watumishi hewa 71, mara ya pili mkasema 87 na mara ya tatu wakapungua hadi 66 tena mara zote hizi ni idadi ya watumishi hewa kimkoa jambo ambalo roho wa Mungu alinikataza kutangaza‘
‘Sasa Mungu kanipa njia ambayo nimewaambia wiki iliyopita, Leo hii wameongezeka wamefika watumishi hewa 209 huku ziai ya bilioni 2 zikipotea. Je, nisinge msikiliza Mungu si mgenifanya nikafukuzwa kazi?‘
Baada ya maelezo hayo Mkuu wa mkoa akawapatia mikataba ya viapo katika kutafuta watumishi hewa, lengo likiwa ni kuwataka kila mtumishi kuwabainisha watumishi wao hewa katika idara zao na atakayebainika kutoa taarifa zisizo sahihi mkataba umfunge mwenyewe.

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment