September mosi 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib amekutana
na hii ya mtoto aliyepotea kwa siku 13 Yombo Buza Kanisani Jijini Dar
es salaam na baadaye kuonekana akiwa amefariki ndani ya chemba ya choo millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.
Wananchi
wanahisi mtoto huyo aliwekwa kwenye shimo kutokana na mazingira ya
chemba hiyo kwenye mfuniko kufunikwa vizuri kwa kipande cha bati………
>>>’Wananchi
wametafuta kwenye mashimo, majumba mabovu mtoto hakupatikanakana mpaka
jana mtoto anaonekana kwenye shimo na shimo lile awali watu waliangalia
hawakumuona mtoto’:-Mama wa mtoto
Unaweza kusikiliza full stori kwa kubonyeza play hapa chini!
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment