Nchi ya China imezidi kuwa kwenye headlines kwenye ishu za madaraja na kwa taarifa tu ni kwamba katika Top 10 ya madaraja marefu duniani nane yanatoka China na karibu yote yamejengwa mikoa ya mbali ambayo iko kwenye milima.
September 10 2016 China wamekamilisha ujenzi wa daraja la Beipanjiang ambalo linapita kwenye milima. Daraja la Beipanjiang ambalo limejengwa juu zaidi kiasi cha futi 1,850 kutoka kwenye ardhi limechukua miaka mitatu mpaka Juzi September 10 2016 lilipokamilika.

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment