BREAKING NEWS : MAGARI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO


Ajali hii imetokea leo karibu na Oldonyo Sambu na imehusisha magari ya Kenya na Tanzania.
- Watu 2 (abiria kwa kila gari) wamefariki dunia palepale! Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa TanzaniaLeo.com
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment