Kila tarehe 24, March 2016 dunia
huadhimisha siku ya ugonjwa wa kifua kikuu, Siku hii ni maalum kwa ajili
ya kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa kuendeleza mapambano dhidi ya
ugonjwa huo katika jamii.
Jana 24, 2016 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alikutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuelezea kuhusu changamoto za ugonjwa huo.
‘Kifua
kikuu ni ugonjwa unaoambukizwa na bakteria wanaojulikana kwa jina la
Mycobacteria tuberculosis, vimelea vyake huenea kwa njia ya hewa na
havichagui aina ya mtu pia hutoka kwa mgonjwa ambaye hajaanza matibabu
na kuambukiza wengine‘ ;–Ummy Mwalimu
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment