
Klabu ya Dar Es Salaam Young Afrika March 12 itacheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika utakaochezwa siku ya Jumamosi ya March 12 Kigali Rwanda. March 9 Yanga wametaja list ya majina ya wachezaji 20 na viongozi wengine watakaosafiri kwenda Rwanda kwa ajili ya mechi hiyo.

Hii ndio list ya msafara wa Yanga utakaosafiri kwenda Kigali Rwanda March 10.
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment