Video ya Rais MAGUFULI Alipomtembelea Maalim SEIF Kumjulia Hali


March 9 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Joseph Magufuli aliingia kwenye headlines baada ya kwenda kumtembelea na kumjulia hali makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kwenye hoteli ya Serena Dar es Salaam ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Hii ndio video ya Rais Magufuli alipomtembelea Maalim Seif Shariff Hamad
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment