Baada ya waziri wa maliasili na utalii Prof Jumanne Magembe kutangaza kuwasimamisha kazi Mkurugenzi msimamizi wa wanyama pori Charles Mulokozi na wengine wanne, kwa kutuhumiwa kutoa vibali vya kusafirisha wanayama pori nje ya nchi, RPC wa Kilimanjaro Wilbrod Mutafungwa kaelezea zaidi hapa.
RPC Mutafungwa katoa maelezo ya ziada “Tumewakamata
watuhumiwa wawili raia wa Uholanzi ambao wanatuhumiwa kwa kusafirisha
wanyama aina ya tumbili, walikuwa wanawasafirisha kwenda Almenia”
>>> RPC Wilbrod
Bonyeza play kumsikiliza zaidi RPC Wilbrod hapa
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment