21 PICHAZ: Tazama Utajiri wa Mwanasiasa Mtata wa Marekani Donald TRUMP

Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi, usishangae ikaishie anaingia white house.

Mwanasiasa huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na ana utajiri wa unaokadiriwa kufika Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june 2015. Donald Trump alianza kufanya kazi kwenye kampuni ya baba yake na akanza kupiga mpaka deal kubwa ukitaka kuufahamu zaidi utajiri wa mwanasiasa huyu na billionare angalia picha hizi hapa chini.

Enzi za ujana wake Donald

Akionekana na helkopita yake mwenyewe

Hii ni moja ya Uwanja wake wa Gofu uliopo Washington DC

Ndege yake aina ya Boeing 727-23

muonekano wa ndege kwa ndani





Donald Trump na Mkewe Melania Knauss Trump

Mjengo wa Donald Trump

Muonekano wa Ndani wa mjengo wa Trump


Hili ni eneo lake jingine la kuishi, Palm beach Florida

Hili ni eneo la Swimming pool kwenye nymba yake ya kuishi

hapa ni nyumba ya zamani ya Trump

Huu ni mwonekano wa ndani wa nymba ya Trump ya zamani

Ukumbi wa Cinema kwenye mjengo huo

Unaweza ukaangalia moja muonekano wa Dining room kwenye mjengo wake huo wa zamani

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment