Madaraja ya Juu Kivutio Jijini Dar [ +PICHAZ ]


1.Daraja la wavuka kwa miguu kama linavyoonekana ene la Moroco,Kinondoni Dar.-001     Daraja la wavuka kwa miguu kama linavyoonekana eneo la Morocco, Kinondoni Dar.
2.Taswira ya daraja la Buguruni Dar ambalo bado linaendelea kujengwa kama linavyoonekana.-001
Taswira ya Daraja la Buguruni jijini Dar ambalo bado ujenzi unaendelea kama linavyoonekana. 3..ungo stendi ya Mabasi yaendayo mikoani Dar.-001
Daraja la Stendi ya Mabasi-Ubungo. 4.Mwonekano wa daraja la Ubungo Dar.-001
Mwonekano wa Daraja la Ubungo jijini Dar. 5.Daraja la Manzese jijini Dar e s Salaam kama linavyoonekana.-001
Daraja la Manzese jijini Dar kama linavyoonekana. 6.Taswira ya daraja la Kimara Dar kama linavyoonekana.
Taswira ya Daraja la Kimara, jijini Dar kama linavyoonekana.
VIVUTIO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia uwepo wa madaraja ya juu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Mbali na kutumika kama kivuko kwa watembea kwa miguu, watu wengi wamekuwa wakiyatumia madaraja hayo kama sehemu ya utalii pindi wanapovuka katika madaraja hayo.
Mwandishi wa mtandao huu amezunguka maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kukuandalia picha zifuatazo:
Na Denis Mtima/GPL
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment