Picha 16 za Mbunge Professor JAY na Watu Wake wa Mikumi Kata ya Ruaha April 16 2016


April 16, 2016 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay alifanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake wa kata ya Ruaha kwa kumchagua kuwa mbunge lakini pia akatumia time yake kuwapa kipaza sauti wamweleze shida zao.
Video ya walichoongea utaipata soon kwenye channel ya millardayo YouTUBE lakini kwa sasa unaweza kutazama hizi picha 16 kwenye hii post.
Gari lililombeba mbunge wa jimbo la mikumi, Mh Joseph Haule a.k.a Professor Jay baada ya kuwasili kwenye mkutano wa wananchi wa kata ya Ruaha April 16, 2016







Mkazi wa kata ya Ruaha akitoa maoni yake kwa Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule a.k.a Professor Jay kuhusiana na kero zinazowakabili

.Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh.Joseph Haule aka Professor Jay akizungumza na Wananchi wa kata ya Ruaha April 16, 2016



.Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh. Joseph Haule

-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment