Lionel MESSI, Christiano RONALDO Waonywa!

Wakati Dunia kwa sasa ikisimama kwa kuwaelezea Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwa maajabu wanayofanya ya kuvunja rekodi kila kukicha hii imekuwa tofauti kidogo na nyota wa zamani wa Atletico Madrod Joao Miranda.

MIRANDA AMESEMAJE?
Kawaambia kuwa wachezaji hao kama wakitoka nje ya La liga haswa Italia hawawezi kufanya hayo wanayo yafanya kwa sasa, Beki huyu ambae anacheza Inter Milan baada ya kuondoka Atletico Madrid .

UKWELI WA LIGI HIYO
Italia kama ilivyo kwa England kwa sasa ligi hiyo haiko sawa kabisa haiko katika ubora wake ambao umezoeleka baada ya timu kubwa nchini humo kutokuwa katika kiwango kizuri.

MSIMAMO WA LIGI HIYO
Juventus 76
Roma 70
SSC Napoli 64
Inter Milan 58
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment