Rais MAGUFULI na Rais Kagame Kigali Leo Kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari [ +PICHAZ ]


Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbari.



Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Rais Rwanda.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment