MIMI NIJIULIZE TU!!..1) NI JESHI GANI DUNIANI LITAKUBALI KUKABIDHIWA KAZI ZA SERIKALI YA KIDEMOIKRASIA BADALA YA KUBAKI NA KAZI YAKE TUKUFU YA KULINDA AMANI NA MIPAKA YA NCHI BILA KUTUMIA NGUVU ZA MEDANI KWA RAIA WANAOTOA PESA ZAO KULITUNZA NA KULILEA??
2) NI RAISI GANI DUNIANI ALIYECHAGULIWA KWA RIDHAA YA KATIBA YA KIDEMOKRASIA AKAWA NA WELEDI NA HAKI KISHERIA KUIKABIDHI NCHI KWA WANAJESHI KUIENDESHA KWA MBINU ZA KIJESHI...MITUTU YA BUNDUKI NA MABUTI NA VIRUNGU??
MIMI SIJAELEWA HILI GAZETI LIMESEMA NINI NAONA KAMA NALO LIMETUDANGANYA!!...NAOMBA UFAFANUZI WANANCHI!
YAANI HILI GAZETI LA JAMBO LEO HILI!!...LINA TOFAUTI KAULI YAKE HII NA ILE YA WALIOSEMA TUMEIBIWA KIFARU TOKA JESHI LETU TUKUFU NA MAHILI TANZANIA?
MIMI NIJIULIZE TU!!..1) NI JESHI GANI DUNIANI LITAKUBALI KUKABIDHIWA KAZI ZA SERIKALI YA KIDEMOIKRASIA BADALA YA KUBAKI NA KAZI YAKE TUKUFU YA KULINDA AMANI NA MIPAKA YA NCHI BILA KUTUMIA NGUVU ZA MEDANI KWA RAIA WANAOTOA PESA ZAO KULITUNZA NA KULILEA??
ReplyDelete2) NI RAISI GANI DUNIANI ALIYECHAGULIWA KWA RIDHAA YA KATIBA YA KIDEMOKRASIA AKAWA NA WELEDI NA HAKI KISHERIA KUIKABIDHI NCHI KWA WANAJESHI KUIENDESHA KWA MBINU ZA KIJESHI...MITUTU YA BUNDUKI NA MABUTI NA VIRUNGU??