Azam FC Wamethibitisha Kukamilisha Usajili wa Beki Huyu wa Kimataifa



Kama ni shabiki wa Azam FC na ulisikia stori za Daniel Amoa mchezaji kutoka klabu ya Medeama ya Ghana atasajiliwa na Azam FC, afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi amethibitisha Daniel Amoa tayari amewasili Tanzania baada ya kukamilisha kila kitu kwa ajili ya kujiunga rasmi na Azam FC.

“Beki wetu ambaye tumemsajili kutoka klabu ya Medeama alikwenda kwao kwa ajili ya kukamilisha taratibu zake, lakini tayari amewasili jana na ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na mchezo unaofuata kwani taratibu zake zote zimekamilika”
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment