Kulikuwa na taarifa kuwa beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondania hajawasili katika kambi ya timu ya taifa licha ya kupigiwa simu mara kadhaa na viongozi na kocha wa timu ya taifa Charles Boniface Mkwasa, afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas ameeleza kusikitishwa kwa kocha Mkwasa kumkosa Yondani.
“Siwezi kuficha mawazo ya mwalimu toka tunatoka hoteli hadi Airport kunung’unika kuhusiana na mchezaji Kelvin Yondani kutojibu meseji za mwalimu wala kupokea simu, pengine mnaweza kuhoji TFF tutachukua hatua gani, ukweli tunasubiri ripoti ya mwalimu” >>> Alfred Lucas
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment