Breaking News: Rais Dkt. MAGUFULI Amfukuza Kazi Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Mama Anne Kilango MALECELA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella na Katibu Tawala wa mkoa huo kwa kutoa taarifa za uongo kuwa mkoa huo hauna watumishi hewa baada ya tume nyingine kuchunguza na kubaini uwepo wa watumishi hewa 45.
Habari kwa kinaendelea kufuatilia hapa hapa TanzaniaLeo.com
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment